Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani.
Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ?
Ukosefu
ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume
kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu
HATUA MBILI MUHIMU KATIKA KUSIMAMA KWA UUME
Ili
mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya
tendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbili kama
ifuatavyo :
Hatua ya kwanza, ni lazima uume wake uweze kusimama barabara na kuwa mgumu kama msumari.
Na
hatua ya pili ni lazima, uume wake uendelee kusimama kwa muda
mrefu wakati wa tendo la ndoa. Hatua zote mbili zinapo
kamilika, ndipo tunapo pata kitu kinaitwa STRONGER AND LONGER
ERECTION
JINSI HATUA ZA KUSIMAMA KWA UUME ZINAVYO TOKEA.
1. HATUA YA KWANZA:
DAMU KUTIRIRIKA KWA KASI KUINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME NA KUUFANYA UUME KUSIMAMA NA KUWA MGUMU.
Unapopata
wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya fahamu iliyopo
kwenye ubongo, hupeleka ishara kwenye mishipa ya uti wa mgongo,
ambayo nayo hupeleka taarifa hadi kwenye mishipa ya uume.
Taarifa
inapofika kwenye mishipa ya uume huifanya mishipa hiyo ku-relax
na hatimaye kufanya mishipa ya ateri kufunguka na kutanuka.
Mishipa ya ateri inapo tanuka na kufunguka, huruhusu damu
kuingia kwa kasi ndani ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya
huume kusimama.
Ni
muhimu kujua kuwa, mishipa ya uume inapo relax hupelekea
kuisukuma na hatimaye kuiziba mishipa ya vena iliyo karibu na
mishipa ya uume na hivyo kuiondolea uwezo wa kunyonya damu
iliyomo ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka sehemu nyingine
za mwili.
N.B:
Kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kunyonya damu iliyomo ndani
ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine za
mwili. Au kwa lugha nyingine unaweza kusema, kazi kubwa ya
mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu kwenye mishipa ya
uume.
2. HATUA YA PILI :
DAMU
KUENDELEA KUHIFADHIWA KATIKA UUME WAKATI UUME UKIWA UMESIMAMA
NA HIVYO KUUFANYA UUME UENDELEE KUDUMU KATIKA TENDO LA NDOA
KWA MUDA MREFU.
Uume
ulio simama, ili uendelee kusimama, ni lazima mishipa ya vena
isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka katika mishipa ya
uume na kuipeleka katika sehemu nyinginezo za mwili. .
Mishipa
ya Vena ndio inayo husika na kunyonya damu kutoka kwenye
mishipa ya uume na kupeleka sehemu nyingine za mwili. Ili uume
uendelee kusimama lazima mishipa hii ya vena iwe imezibwa. Ili
iweze kuzibwa ni lazima misuli laini ya kwenye uume iwe - ime
relax na hivyo kuifanya mishipa ya vena kushindwa ku nyonya
damu kutoka kwenye uume.
Endapo
mishipa ya vena itazibuka , basi itanyonya na kutoa damu yote
kutoka kwenye mishipa ya uume uliosimama na kuipeleka sehemu
nyinginezo za mwili na hatimaye uume huo ulio simama na
utasinyaa mara moja.
JINSI UUME UNAVYO SIMAMA NA KUSISIMKA.
Tumeisha zifahamu hatua mbili muhimu katika kusimama kwa uume
Jinsi Uume unavyo simama: Katika uume kuna chemba yenye mishipa laini sana, ambayo ndio huufanya uume kusimama.
Mishipa hii ipo kama sponji hivyo huweza kunyauka na kutanuka.
Damu inapoingia ndani ya mishipa hii huufanya uume kusimama na kuwa mgumu kama msumari.
Damu inapoendelea kuhifadhiwa ndani ya mishipa hii wakati wa tendo la ndoa, huufanya uume uendelee kusimama.
Mwanaume
unapo patwa na wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya
fahamu iliyo kwenye ubongo hupeleka ishara kwenye uti wa mgongo,
ambao nao hufikisha taarifa kwenye mishipa ya uume.
Taarifa
ikisha fika kwenye mishipa ya uume, huifanya mishipa ya uume
ku-relax na mishipa ya uume inapo relax, hufanya mambo makuu
mawili;
i. Kwanza hufanya mishipa ya ateri kufunguka na hivyo damu kutiririka kwa kasi sana kuingia kwenye mishipa ya uume
(
Mishipa ya ateri ndio inayo tumika kama njia ya kuingiza
damu kwenye uume. Bila mishipa ya ateri imara na yenye afya,
damu haiwezi kuingia kwenye mishipa ya uume, na damu isipoweza
kuingia kwenye mishipa ya uume, basi uume hauwezi kusimama )
ii.Pili
huibana mishipa ya vena na hivyo kuizuia kunyonya damu
kutoka kwenye uume na kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili.
Matokeo yake kuufanya uume uendelee kusimama kwa muda mrefu
wakati wa tendo la ndoa.
Kumbuka
,kazi kubwa ya mishipa ya neva iliyo karibu na mishipa ya
uume, ni kunyonya damu kutoka ndani ya mishipa ya uume na
kuipeleka kwenye sehemu nyingine za mwili. Kwa lugha nyingine,
kazi kubwa ya mishipa ya vena ni kuhakikisha hakuna damu
kwenye mishipa ya uume ulio simama.
Kadri damu inavyo zidi kuingia ndani ya mishipa ya uume, ndivyo uume unavyo zidi kuwa mgumu na kukakamaa.
Na
kadri damu inavyo hifadhiwa ndani ya mishipa ya uume, ndivyo
uume unavyo endelea kusimama wakati wa tendo la ndoa kwa muda
mrefu.
Baada
ya kumaliza kufanya tendo la ndoa,mishipa ya uume inarudi
katika hali yake ya kawaida (inanyauka ), ikisha nyauka, mishipa
ya ateri inanyauka pia, vena zinafunguka na kunyonya damu
katika mishipa ya uume na kuirejesha katika sehemu nyinginezo
za mwili na hatimaye uume kurudi katika hali ya kawaida (
Flaccid ).
Hali hii itaendelea kujirudia kwa kadri utakavyo kuwa ukiendelea kufanya tendo la ndoa.
Mambo
Muhimu Katika Kuufanya Uume Usimame na Kuendelea kudumu katika
kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa.
Ili
uume uweze kusimama imara kama msumari na uendelee kusimama
imara na kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa, ni lazima
mambo yafuatayo yawepo.
1.Mishipa ya uume iliyo imara na yenye afya njema.
2.Mfumo mzuri wa damu katika mwili mzima.
3.Mtiririko imara wa damu kuingia na kutoka ndani ya mishipa ya uume.
4.Ushirikiano
wenye afya kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo
(nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya
kwenye uume.
Ili
mwanaume aweze kuwa imara katika tendo la ndoa, ni lazima
mambo manne niliyo yataja hapo juu yawe sawa sawa bila
hitilafu yoyote. Kinyume chake, mwanaume hawezi kuwa na nguvu za
kiume.
MAMBO YANAYO SABABISHA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Tumeshajua
nguvu za kiume ni nini, jinsi uume unavyo simama, hatua za
kusimama kwa uume, pamoja na mambo yanayo fanya uume uweze
kusimama na kuwa na uwezo wa kuendelea kusimama wakati wa
tendo la ndoa.
Ni
vyema tukajua mambo yanayo sababisha kushindwa kusimama kwa
uume, mambo yanayo sababisha uume ushindwe kuendelea kusimama kwa
muda mrefu wakati wa tendo la ndoa pamoja na mambo yanayo
fanya mtu ashindwe kurudia tendo la ndoa.
Yafuatayo ni mambo yanayo sababisha ukosefu wa nguvu za kiume.
1. MAGONJWA YANAYO SHAMBULIA MFUMO WA DAMU PAMOJA NA MISHIPA YA DAMU.
Damu ndio nishati inayo wezesha kusimama kwa uume na kuufanya kuwa mgumu na imara kama msumari.
Damu ndio nishati inayo weza kuufanya uume uendelee kusimama wakati wa tendo la ndoa.
Damu ndio nishati inayo upa uume uimara na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja.
Hivyo
basi ili uume uweze kuwa imara na wenye nguvu, pamoja na kuwa
na uwezo wa kumudu na kustahimili tendo la ndoa wakati
wowote , basi ni lazima mwanaume awe na mfumo imara wa damu
utakao ruhusu kutiririka kwa damu kwenda katika sehemu
mbalimbali za mwili ikiwamo uume.
Ili
mfumo uweze kuwa imara ni lazima mhusika awe na damu ya
kutosha, na pili awe na mishipa ya damu yenye afya.
Katika
mwili wa mwanadamu,kuna mishipa inayo tumika kusafirisha damu
kutoka katika sehemu moja ya mwili kwenda katika sehemu nyingine
ya mwili ikiwemo uume. Mishipa hiyo ni kama vile vena (veins),
atery ( ateri) na capillary ( kapilari )
Mishipa
hii ya damu inapaswa kuwa imara na yenye afya njema wakati
wote. Mishipa hii ikipatwa na hitilifu, basi itazuia
kusafirishwa kwa damu katika sehemu mbalimbali za mwili wa
mwanadamu na hatimaye kufanya suala la kuwa na nguvu za kiume
kwa mhusika kuwa ugumu kwa sababu ya kushindwa kupeleka damu
kwenye mishipa ya uume.
Magonjwa kwenye mishipa ya damu huzuia kutirika kwa damu kwenye ogani muhimu kama vile moyo, ubongo na figo.
VIASHIRIA VYA MAGONJWA KWENYE MISHIPA YA DAMU.
Utajuaje kwamba una magonjwa kwenye mishipa yako ya damu ?
Ukiwa una matatizo yafuatayo ya kiafya, ni ishara kwamba, una magonjwa kwenye mishipa yako ya damu:
1. Kolestrol ( Ama lehemu kwenye damu )
Kolestrol
nyingi kwenye damu, huzuia kutiririka kwa damu. Kolestrol
ikizidi kwenye damu, hupelekea kuziba mishipa ya ateri ambayo
kazi yake ni kupeleka damu kwenye uume. Matokeo yake ni
mhusika kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake barabara kwa
sababu uume hauwezi kusimama bila damu kuingia ndani ya
mishipa ya uume.
Hivyo
basi pamoja na dawa ya nguvu za kiume, yakupasa kutibu
kolestrol. Unaweza kuondoa kolestrol kwenye damu kwa kutumia
dawa mbali za asili kama vile mdalasini,uwatu, habbat sodah etc.
Jinsi ya kujitibu kolestrol kwa kutumia dawa asilia tafadhali
tembelea
2. Shinikizo Kubwa la Damu
Shinikizo
Kuu la Damu husababisha mishipa ya ateri ambayo hutiririsha
damu iingiayo kwenye uume kuziba na kushindwa kutanuka kwa
kiwango inachotakiwa kutanuka.
Pia
huifanya mishipa laini katika uume kushindwa ku-relax na
hivyo kushindwa kuizuia mishipa ya vena ya kunyonya damu
kutoka kwenye mishipa ya uume na kuipeleka kwenye maeneo
mengineyo ya mwilini.
Matokeo
yake kunakuwa hakuna kiasi cha kutosha cha damu iingiayo
kwenye uume na hivyo kufanya uume ushindwe kusimama.
Vile
vile hata kiasi kidogo cha damu kinacho ingia kwenye uume,
kinashindwa kuendelea kuhifadhiwa ndani ya uume wakati uume
ukiwa umesimama, na matokeo yake ni uume kusinyaa ndani ya
kipindi kifupi sana tangu usimame.
Pamoja
na kutumia dawa ya nguvu za kiume, unapaswa pia kutumia dawa
asilia kujitibu tatizo la shinikizo kuu la damu.
Kufahamu jinsi ya kujitibu tatizo la shinikizo la damu kwa njia ya asilia, tembelea :
3. Ugonjwa wa kisukari :
Ugonjwa
wa kisukari ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya tatizo la
ukosefu wa nguvu za kiume. Kusimama kwa uume kunategemeana na
kutiririka kwa damu mwilini. Kisukari huathiri mishipa ya damu
pamoja na usambazaji wa damu kwenye ogani muhimu mwilini kama
vile moyo, ubongo, figo na uume.
Kiukweli,
mwanaume mwenye kisukari yupo katika risk kubwa ya kupatwa na
tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume,m tena katika kiwango
kikubwa sana.
Unashauriwa
pamoja na kutumia dawa ya nguvu za kiume, tumia pamoja na
dawa mbalimbali za asili kwa ajili ya kubalance sukari yako
mwilini.
Zipo
dawa mbalimbali za asili zinazo saidia kubalance kiwango cha
sukari mwilini. Dwa hizo ni pamoja na mdalasini, unga wa uwatu,
mbegu za uwatu, manjano, majani ya manjano,mbegu za katani,
nakadhalika.
Namna ya kutumia dawa hizo kujitibu tatizo la sukari, tafadhali tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
4. Magonjwa ya figo
Tatizo
la ugonjwa wa figo huathiri vitu vingi ambavyo ni muhimu sana
katika kuufanya uume uweze kusimama na kuendelea kudumu katika
kusimama.
Tatizo
la figo, huathiri homoni, huathiri kutiririka kwa damu kwenda
kwenye mishipa ya uume. Huathiri mfumo wa mishipa ya neva
pamoja na nishati ya mwili mzima.
Pamoja na dawa ya kutibu tatizo la nguvu za kiume, unapaswa pia, kutibu tatizo la figo.
Kufahamu jinsi ya kujitibu magonjwa mbalimbali ya figo kwa kutumia dawa mbalimbali asilia, tembelea : http://neemaherbalist.blogspot.com/2015/07/jitibu-kisukari-presha-shinikizo-la.html
5. Ugonjwa wa moyo
Moyo
ndio supplier mkubwa wa damu katika sehemu mbalimbali za
mwili. Ugonjwa wa moyo hupunguza uwezo wa moyo kusambaza damu
kwenye mishipa mbalimbali ya damu na hivyo kuathiri utendaji
kazi wa mishipa ya damu kama vile ateri na vena.
Matokeo
yake ni mishipa hiyo kushindwa kupeleka damu ya kutosha
katika uume pamoja na kushindwa kuifanya mishipa ya uume
kurelax na matokeo yake,. Ukosefu wa nguvu za kiume.
Hivyo
basi, pamoja na dawa ya nguvu za kiume, unapaswa pia kutibu
tatizo la moyo. Kufahamu jinsi unavyo weza kutibu ugonjwa wa
moyo kwa dawa asilia, tembelea :
6. Kupwaya kwa mishipa ya vena.
Kazi
kubwa ya mishipa ya vena kwenye uume kunyonya damu iliyomo
ndani ya mishipa ya uume na kuipeleka katika sehemu nyingine
za mwili.
Mishipa
ya vena iliyopo karibu na uume kazi yake kubwa ni
kuhakikisha hakuna damu yoyote kwenye mishipa ya uume. ( KUMBUKA
KUWA DAMU NDIO HUFANYA UUMU USIMAME, HIVYO CHOCHOTE KILE
KITAKACHO FANYA DAMU ISIKAE NDANI YA MISHIPA YA UUME ,
KITAFANYA UUME USINYAE )
Ili
uume uendelee kusimama ni lazima, mishipa ya vena isiwe na
uwezo wa kunyonya damu kutoka kwenye mishipa ya uume kupeleka
nje ya mishipa ya uume.
Na
ili mishipa ya vena isiwe na uwezo wa kunyonya damu kutoka
kwenye mishipa ya uume ulio simama na kuipeleka kwenye
sehemu nyingine za mwili, ni lazima mishipa ya uume iwe imara
na thabiti isiyo na hitilafu yoyote ile.
Mishipa
ya vena ikipwaya, mwanaume hutokuwa na uwezo wa kusimamisha
uume wako, na ikitokea umefanikiwa kuusimamisha basi utasimama
ukiwa legelege sana na utasinyaa ndani ya muda mfupi sana, kwa
sababu damu iliyo ingia ndani ya uume wako na kuufanya
usimame, itanyonywa ndani ya muda mfupi sana na kutolewa nje
ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume wako usimame.
Tatizo
la kupwaya kwa mishipa ya vena linasababishwa na kupiga
punyeto kwa muda mrefu pamoja na ugonjwa wa kisukari.
KUPIGA PUNYETO KWA MUDA MREFU:
Kupiga punyeto kwa muda mrefu ni moja kati ya vyanzo vikuu
vya tatizo la la ukosefu wa nguvu za kiume. Asilimia kubwa
ya vijana wenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume,
linasababishwa na upigaji wa punyeto kwa muda mrefu.
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Unapopiga punyeto unakuwa unaiminya mishipa ya uume ambayo ndio inaufanya uume usimame.
Matokeo yake unaifanya mishipa hiyo ilegee na kutokuwa na uwezo wa kusimama tena.
Mishipa ya uume iliyo legea kutokana na upigaji punyeto, huleta madhara yafuatayo :
i. Huondoa uwezo wa mishipa ya uume kurelax.
(
Unapopata wazo la kufanya tendo la ndoa, mishipa ya uume ina
relax , mishipa iki relax husababisha mishipa ya ateri kupanuka
na kuruhusu damu kingie ndani ya mishipa ya uume na hatimaye
kuufanya uume usimame na kuwa mgumu)
ii.Mishipa ya kiume ikishindwa ku relax husababisha mishipa ya ateri kuziba
iii.
Mishipa ya ateri ikiziba, damu haiwezi kutiririka kuingia
kwenye mishipa ya uume, na hata ikitokea damu imeingia ndani
ya mishipa ya uume basi huingia kiasi kidogo sana tena kwa
presha ndogo sana hivyo basi hata kama uume utasimama basi
utasimama ukiwa legelege sana
iv.Mishipa
ya uume ikishindwa kurelax basi haitakuwa na uwezo wa kuipush
na kuiziba mishipa ya vena ambayo ndio hunyonya damu kutoka
kwenye mishipa ya uume ulio simama. Matokeo yake basi, damu
kidogo iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume na kuufanya uume
kusimama, hunyonywa na kutolewa nje ya mishipa ya uume ndani
ya sekunde chache sana na hivyo kuufanya uume usinyae ndani ya
muda mfupi sana.
v. Mishipa ya uume kulegea
vi. Uume kurudi ndani na kusinyaa na kuwa kama uume wa mtoto
6. Tatizo la unene kupita kiasi : Tatizo
la unene na uzito kupita kiasi ni miongoni mwa mambo yanayo
sababisha upungufu wa nguvu za kiume. Unene kupita kiasi
humuweka mtu katika hatari ya kupatwa na magonjwa kama vile
kisukari, presha, moyo na shinikizo kuu la damu.
Na
magonjwa ya kisukari, moyo,presha na shinikizo la damu
husababisha upungufu na ukosefu wa nguvu za kiume, na hivyo
kumuweka muhusika katika hatari kuu ya kupatwa na tatizo la
ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.
Hivyo
basi kwa wewe mwenye tatizo la unene na uzito kupita kiasi ,
pamoja na kutumia tiba ya nguvu za kiume, ni vyema ukafanya
na mpango wa kupunguza unene na uzito wako.
JINSI YA KUPUNGUZA UZITO NA UNENE KWA KUTUMIA TIBA ASILIA, TAFADHALI TEMBELEA:
7. Matatizo Katika mfumo wa Ubongo
Uume
hauwezi kusimama bila ya kuwa na ushirikiano na ubongo. Ili
mtu uume uweze kusimama, mtu lazima apate wazo la kufanya
tendo la ndoa (UBONGO UNA HUSIKA HAPO ), akishapata wazo, ubungo
hupeleka ishara kwenye mishipa ya fahamu iliyopo katika uti wa
mgongo ambayo nayo hupeleka taarifa kwenye mishipa ya uume
then uume usimama.
Hivyo
basi ili mtu aweze kuwa na uwezo wa kusimamisha uume wake ni
lazima kuwa na mawasiliano mazuri na imara kati ya mishipa ya
fahamu ( ubongo ), mishipa ya kwenye uti wa mgongo na mishipa
ya kwenye uume. Bila ushirikiano kati ya vitu hivyo vitatu,
uume hauwezi kusimama.
Magonjwa
yanayoweza kuathiri ushirikiano kati ya mishipa ya ubongo na
mishipa ya uume, yanaweza kusababisha kushindwa kusimama kwa
uume.
Magonjwa
hayo ni pamoja na kiharusi,kupoteza kumbukumbu ( Alzheimer ),
multiple sclerosis pamoja na ugonjwa wa Parkinson.
Ni
vyema mgonjwa akatibiwa kwanza magonjwa hayo kabla ya kuanza
kutumia dawa ya nguvu za kiume. Kufahamu jinsi ya kujitibu
magonjwa tajwa hapo juu kwa njia asilia,tafadhali tembelea
Mambo
mengine yanayo sababisha ukosefu na upungufu wa nguvu za
kiume, ni pamoja na maumivu & majeraha kwenye uti wa mgongo,
chango la kiume , ngiri na matatizo katika homoni.
VIASHRIA VYA MTU MWENYE TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mtu mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume huwa na dalili zifuatazo ;
1. Kushindwa kabisa kusimamisha uume wake
2. Uume kusimama ukiwa legelege
3. Kuwahi kumaliza tendo la ndoa
4.
Mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa katika
baadhi ya staili ( Mara nyingi mwanaume huyu huwa na uwezo wa
kufanya tendo la ndoa staili moja tu ).
Hapa
mwanaume anakuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa
staili ya “ missionary” pekee. Ikibadilishwa staili, mwanaume
anakuwa hana tena uwezo wa kusimamisha uume wake japo katika
hali ya lege lege
5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.
6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.
7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.
8. Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa mfano kama unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )
9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
5. Uume kutokuwa na uwezo wa kusimama wenyewe bila kushikwashikwa ama kutomaswa kwa muda mrefu.
6. Uume kusinyaa ukiwa ndani ya mwanamke.
7. Uume kusinyaa, pindi inapotokea activity yoyote ya kiungo ama ogani nyingine ya mwanaume wakati wa tendo la ndoa. Kwa mfano, wakati wa tendo la ndoa, ikitokea mwanaume amekohoa au kupiga chafya, uume nao unasinyaa.
8. Uume kusinyaa mara tu baada ya kutolewa ndani ya uke ( Kwa mfano kama unafanya tendo la ndoa, halafu uume ukatoka nje, kitendo cha kuushika kuurudisha ndani, tayari una sinyaa )
9. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa.
10. Kupatwa na maumivu wakati wa tendo la ndoa.
VIASHIRIA VYA MWANAUME ASIYE NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mwanaume asiye na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, huonyesha ishara zifuatazo ;
i. Uume husimama ukiwa imara kama msumari.
ii.Hukaa kifuani kwa muda mrefu ( Wastani ni kati ya dakika 20 hadi 45 )
iii.Huweza kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila misuli ya uume kuchoka.
iv. Huweza kufanya tendo la ndoa kwa staili yoyote ile
v. Uume husimama wenyewe bila kushikwa shikwa wala kuwa stimulated kwa namna yoyote ile
vi.Kwa ufupi anakuwa na uwezo wa kufanya na kukamilisha tendo la ndoa kwa uukamilifu mkubwa.
TIBA ASILIA YA TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Dawa asilia ya JIKO ni dawa asilia inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
MFUMO WA DAWA
Dozi ya dawa ya JIKO ni mkusanyiko wa dawa nne asilia zenye uwezo mkubwa sana katika kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hizi zipo katika mfumo wa MIZIZI na UNGA UNGA.
JINSI DOZI YA DAWA YA JIKO INAVYO FANYA KAZI.
Dozi ya dawa ya JIKO inafanya kazi zifuatazo katika mwili wa mwanadamu.
KAZI INAYO FANYWA NA DAWA YA JIKO .
Dawa ya JIKO inasadia katika mambo makuu yafuatayo:
1. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.
2. Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye uume.
3. Huongeza damu mwilini
4. Husaidia kuongeza msukumo (pressure) wa damu kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu za ajabu.
5. Huipa misuli ya uume uwezo wa kuziba wa kuizuia mishipa ya vena kunyonya damu kwenye mishipa ya uume wakati wa tendo la ndoa na matokeo yake kukupa uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu( Kuzuia hali ya kufika kileleni haraka )
VIASHIRIA VYA MWANAUME ASIYE NA TATIZO LA UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME.
Mwanaume asiye na tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume, huonyesha ishara zifuatazo ;
i. Uume husimama ukiwa imara kama msumari.
ii.Hukaa kifuani kwa muda mrefu ( Wastani ni kati ya dakika 20 hadi 45 )
iii.Huweza kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara tatu bila misuli ya uume kuchoka.
iv. Huweza kufanya tendo la ndoa kwa staili yoyote ile
v. Uume husimama wenyewe bila kushikwa shikwa wala kuwa stimulated kwa namna yoyote ile
vi.Kwa ufupi anakuwa na uwezo wa kufanya na kukamilisha tendo la ndoa kwa uukamilifu mkubwa.
TIBA ASILIA YA TATIZO LA UKOSEFU/UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Dawa asilia ya JIKO ni dawa asilia inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
MFUMO WA DAWA
Dozi ya dawa ya JIKO ni mkusanyiko wa dawa nne asilia zenye uwezo mkubwa sana katika kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume.
Dawa hizi zipo katika mfumo wa MIZIZI na UNGA UNGA.
JINSI DOZI YA DAWA YA JIKO INAVYO FANYA KAZI.
Dozi ya dawa ya JIKO inafanya kazi zifuatazo katika mwili wa mwanadamu.
KAZI INAYO FANYWA NA DAWA YA JIKO .
Dawa ya JIKO inasadia katika mambo makuu yafuatayo:
1. Inasaidia kuimarisha mishipa ya uume ulio legea na hivyo kuufanya uume uwe na uwezo wa kusimama barabara kama msumari wakati wa tendo la ndoa.
2. Inasaidia kusafisha mishipa ya kwenye uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi ya msukumo wa damu kwenye mishipa ya kwenye uume.
3. Huongeza damu mwilini
4. Husaidia kuongeza msukumo (pressure) wa damu kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kuwa na nguvu za ajabu.
5. Huipa misuli ya uume uwezo wa kuziba wa kuizuia mishipa ya vena kunyonya damu kwenye mishipa ya uume wakati wa tendo la ndoa na matokeo yake kukupa uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu( Kuzuia hali ya kufika kileleni haraka )
6. Husaidia kurelax mind na hivyo kumfanya mtu awe na uwezo wa kuconcentrate wakati wa tendo la ndoa bila kuathiriwa na msongo wa mawazo
7. Hurejesha, kuimarisha na kuboresha ushirikiano kati ya mishipa ya fahamu ya kwenye ubongo (nerves), mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na mishipa ya kwenye uume
8. Humfanya mwanaume awe na uwezo wa kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi bila kuchoka.
9. Husaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa.
10.Husaidia kuurudisha nje uume ulio ingia ndani.
11. Husaidia kutibu side effects za punyeto na matumizi ya muda mrefu ya dawa kali za (za kizungu ) za kuongeza nguvu za kiume.
12. Husaidia kutibu chango la kiume.
13. Dawa hii huwasaidia hata wanawake wanao sumbuliwa na tatizo la ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa.
BEI YA DAWA: Dozi ya dawa ya JIKO inapatikana kwa gharama ya SHILINGI ELFU THEMANINI TU (Tshs.80,000/=)
DAWA HII IMETHIBITISHWA NA MKEMIA MKUU WA SERIKALI.
MAHALI TUNAPOPATIKANA :
Dozi ya dawa ya JIKO, inatolewa na duka la dawa asilia la NEEMA HERBALIST NUTRITIONAL FOODS CLINIC. Tunapatikana jijini DAR ES SALAAM, katika eneo la UBUNGO karibu na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
Kwa wasio weza kufika ofisini kwetu, tunatoa huduma ya kuwapelekea dawa mahali walipo ( DELIVERY )
Kwa wateja waliopo nje ya DAR ES SALAAM, watatumiwa dawa kwa njia ya mabasi, wateja waliopo Zanzibar, watatumiwa dawa kwa njia ya boti na kwa wateja waliopo Ulaya, America na Arabuni, watatumiwa dawa kwa njia ya DHL au POSTA.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA
0766 53 83 84.
Na kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zetu, endelea kutembelea:
www.neemaherbalist.blogspot.com
No comments:
Post a Comment