Saturday, January 30, 2016

Ali Kiba Aguswa na Maneno ya Ruby..Amuomba Msamaha


Ali Kiba Ameshutumiwa na Mwanamuziki Ruby kuwa amemfananisha na Mbwa alipokuwa akihojiwa kwenye kipindi cha Sporah Show..
Ali Kiba Amemjibu Ruby Kupitia Ukurasa wake wa Insta na kumuomba msamaha lakini post hiyo haikukaa sana kwani aliifuta baada ya muda si mrefu ila tumeipata na kukuwekea hapa chini;

No comments:

Post a Comment