Faiza Ally Awaomba Radhi Watanzania ila Kaacha Ujumbe huu:
"Hakuna njia rahisi ya kuvumbua maovu ya watu....niko
tayari kupata misukosuko ya aina yoyote ili kuleta mabadiliko kwa mateso
wanayo pitia wanawake na watoto... Ntasimama kwenye ukweli hata kama
naumia kutukanwa na wamama wasio jielewa lkn mwisho wa siku ntawapa
ujasiri wa kusimamia haki zenu na watoto wenu....NAJUA NIMEKOSA KUPOST
MWANANGU AKIWA ANA LIA..... Lkn hiyo ndio ilikua njia pekee ya kuonyesha
umma kuwa kuna haya... Mtoto ni jukumu la baba na mama ! Hata kama
wamama tunajikaza kutunza watoto wetu lkn mwisho wa siku tuna umia na
tunahitaji misaada kutoka kwa wenzi wetu.... Na sio mahitaji tu na
mapenzi ya baba na mtoto....Najua nchi yangu bado wana wake wako nyuma
ktk kuungana na kujisimamai lkn mm ntajitolea na najua haita kuwa faida
ya mmoja itakua ya wengi... Na hata wanaume wengine watajifunza kupitia
hapa! Ntasimama... Ntawajibika... Na ntashiriki... Ikiwa binafsi!
Serekali au makampuni binafsi kwa ajilia yangu na wanawake wengine
......KWA MTANZANIA YOYOTE NILIE MUUMIZA KUPITIA VIDEO YA SASHA NAOMBA
RATHI LKN NAOMBA MSIANGALIE TU VIDEO ANGALIENI NA MAMBO MENGINE YA
MUHIMU KTK HILI....! #HAKUNA JAMBO RAHISI..." Faiza
No comments:
Post a Comment