WEMA ALIMWAMBIA IDRIS KUWA ANATAKA KUSAFISHA KIZAZI...IDRIS AKASEMA
SUBIRI KWANZA TUJARIBU TUONE KWA HIYO AKAMWAMBIA SIKU YA KUFANYA HILO
TENDO ASILE KITU CHOCHOTE KUANZIA SAA TANO NA MIDA YA JIONI WAWEZE
KUFANYA KITU HICHO..BAADA YA KUFANYA HICHO KITU KESHO YAKE WEMA AKAANZA
KUTEST MKOJO NA VIPIMO VYAKE KUONA KAMA AMENASA MARA VIPIMO VIKAONESHA
KAMA AMENASA.BAADA YA KUONA HIVYO AKAPAGWA NA AKAONA NI BORA AENDE KWA
DAKTARI WAKE ILI APATE UHAKIKA ZAIDI.
DAKTARI NAYE AKATHIBITISHA KWAMBA NI KWELI AMEPATA MIMBA.MTANDAO HUU WA UDAKU UNAWAPA HONGERA SANA WEMA SEPETU NA IDRIS
No comments:
Post a Comment